Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaani kumbe nilikuwa naumwa ulcers bila mimi mwenyewe kujua..
Kuna muda nilikuwa nazidiwa..sasa nimefululiza wiki 2 tumbo linanikwangua hatari ndio dkt kwenda kunipima ulcers.
Dawa alizonipa Sasa ndio zina kasheshe..hapa tangu nimemeza juzi sijameza tena,zitaniua
Sijui nifanye Nini,nashindwa kabisa kula, yaani vijiko viwili nishashiba.
Pole Sana Dada. Utapona, unanikumbusha mbali Sana. Nilipokuwa shule nilikuwa na Ulcers tabu yake si mchezo na nilikuwa nabagua vyakula yaani ilifikia kipindi nikila ugali hata wali nasikilizia mziki na shuleni walikuwa wananiita mtoto wa mama kisa nabagua vyakula. Lakini leo hii nami natengeneza dawa ya vidonda vya tumbo inayotibu moja kwa moja na utathibitisha kwenye vipimo. Karibu Sana kwa msaada.
 
Back
Top Bottom