Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,241
- 90,417
Fisi
Mwili wenyewe wa kugeuka nautoa wapiBustani nzuri geuka kidogo basi jamani Anne.






Kimbaombao
Hivi yako uliweka mkuu?
Hahahaha, mmmmh ,nitake radhi Mkuu, kwan we hujaona kiuno kile?Fisi
Hahaha mkuu,hata nikiona nitafanyaje sasa!!? wadogo zetu hao..
Kaka mkubwaHahaha mkuu,hata nikiona nitafanyaje sasa!!? wadogo zetu hao..
Duh Sorry sana,leo tutafanya hivyo nilipitiwa.wewe unataka kuongezeka wakati dada anataka kupungua...Kaka mkubwa
Ujue hadi leo hujanifundisha zile mbinu za kuongeza na kupunguza mwili
Ndiyo..Duh Sorry sana,leo tutafanya hivyo nilipitiwa.wewe unataka kuongezeka wakati dada anataka kupungua...
Duh Pole sana au Ulcers zinakufanya hivyo!??Ndiyo..
Tena ikiwezekana unielekeze dawa ya kula sana,nimekuwa mvivu hadi nimeugua Sasa.
Hahahaha, mdg wetu ndio lkn mpe sifa zake stahiki, ndio maana naombaga picha, kuona vitu km hivi MkuuHahaha mkuu,hata nikiona nitafanyaje sasa!!? wadogo zetu hao..
Yaani kumbe nilikuwa naumwa ulcers bila mimi mwenyewe kujua..Duh Pole sana au Ulcers zinakufanya hivyo!??
Hvi bado unakula vyakula vyenye Acid!??naona ulcers bado zinakusumbua.
Jijenge kisaikolojia kwanza kuwa hauumwi halafu furahia maisha hii ni dawa ya kwanza kabisa
Umepimaje Ulcers!??Yaani kumbe nilikuwa naumwa ulcers bila mimi mwenyewe kujua..
Kuna muda nilikuwa nazidiwa..sasa nimefululiza wiki 2 tumbo linanikwangua hatari ndio dkt kwenda kunipima ulcers.
Dawa alizonipa Sasa ndio zina kasheshe..hapa tangu nimemeza juzi sijameza tena,zitaniua
Sijui nifanye Nini,nashindwa kabisa kula, yaani vijiko viwili nishashiba.
Hahaha mkuu ngoja nisiongeze neno wewe ushawakilisha maoni yetuHahahaha, mdg wetu ndio lkn mpe sifa zake stahiki, ndio maana naombaga picha, kuona vitu km hivi Mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naelewa BasiUmepimaje Ulcers!??
Umetumia Endoscopy!??Au uliangalia tu H Pylori Test!??



Umeadimika
HahahahaHahaha mkuu ngoja nisiongeze neno wewe ushawakilisha maoni yetu