Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahah hata mie wakati najifunza nilisema sitalewa. Nikafuata taratibu zote. Nilianza na Whisky "Imperial Blue" ina 42% vol. alc! Nilianza saa 11 jioni na wana.

Nilibugia toti kwa kuzimix na Ginger Ale. Kilichotokea niliamka the next day saa 5 nikiwa nimetapika makongoro yangu kila upande wa chumba nikaamkia usafi. Sikujua hata ndani niliingiaje maana tulikuwa kwenye garden.

Pombe sio chai.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duuh ila we mwanangu ulizidi, mimi pombe yoyote ambayo najua itanifanya nitapike siwezi kuinywa maana maishani mwangu hakuna kitu sipendi kama kutapika.
 
Back
Top Bottom