Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,148
- 190,635
Ni kwa bwaaana..Kwa maana ana uwezo wa mileleee 👏👏👏
Ni kwa bwaaana..Kwa maana ana uwezo wa mileleee 👏👏👏
Siwezi kulewa Wewe.Anakuwa pambe sana, atacheka cheka balaa!Hapo ndipo ntapomuinjoy na vimaswali vya kijinga
![]()
Ngoja niongee na broo hapa tuendelee kumshawishi siku yake tukamnyweshe.😀😀Haya mkishalewa mtuwekee na picha.
Wala hujichoshi mbona,Nitajichosha bure kuprove
Maana najua kulewa siwezi kabisa.
Mna mpango gani kwani?Ngoja niongee na broo hapa tuendelee kumshawishi siku yake tukamnyweshe.
Atapendeza sana akiwa kalewa inaonekana![]()
Watu kama hawa wakilewa mbona utafurahi.🤣🤣🤣Anakuwa pambe sana, atacheka cheka balaa! 🤣🤣🤣 Hapo ndipo ntapomuinjoy na vimaswali vya kijinga🤣🤣🤣
Unataka unipe hela ya bure???Wala hujichoshi mbona,
Hivi kwanini hulali wewe mtoto?
Watalewa wao tu
Mimi siwezi.
Ndio furaha yangu haswaa!Unataka unipe hela ya bure???
Na Wewe unaamini kwamba naweza kulewa?Ngoja niongee na broo hapa tuendelee kumshawishi siku yake tukamnyweshe.
Atapendeza sana akiwa kalewa inaonekana![]()
Tatizo wananibishia mno hawa.Hivi kwanini hulali wewe mtoto?

Tutoke nae jioni moja tulivu tukamfundishe kupata kilaji.Mna mpango gani kwani?
Mimi huwa sitaki hela za bure.Ndio furaha yangu haswaa!
Nataka aonje smirn off black ice 3 ama dompo moja kubwa.Mna mpango gani kwani?
Tutoke nae jioni moja tulivu tukamfundishe kupata kilaji.
Maisha yanakuwaje matamu bila kilaji.![]()




Mtatupa hela zenu na kulewa silewi.Tutoke nae jioni moja tulivu tukamfundishe kupata kilaji.
Maisha yanakuwaje matamu bila kilaji.![]()
Halafu?Nataka aonje smirn off black ice 3 ama dompo moja kubwa.
Hio sio ya bure.. Unakuwa umechapa kaziMimi huwa sitaki hela za bure.
Waone Kama nitalewa.Halafu?