Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nafikiri ujiandae tu kumrudishia pesa maana mwenzetu keshasema ye halewi. Afe mmasai afe mmang'ati yeye halewi.
Hahahah hata mie wakati najifunza nilisema sitalewa. Nikafuata taratibu zote. Nilianza na Whisky "Imperial Blue" ina 42% vol. alc! Nilianza saa 11 jioni na wana.

Nilibugia toti kwa kuzimix na Ginger Ale. Kilichotokea niliamka the next day saa 5 nikiwa nimetapika makongoro yangu kila upande wa chumba nikaamkia usafi. Sikujua hata ndani niliingiaje maana tulikuwa kwenye garden.

Pombe sio chai.
 
Hahahah hata mie wakati najifunza nilisema sitalewa. Nikafuata taratibu zote. Nilianza na Whisky "Imperial Blue" ina 42% vol. alc! Nilianza saa 11 jioni na wana.

Nilibugia toti kwa kuzimix na Ginger Ale. Kilichotokea niliamka the next day saa 5 nikiwa nimetapika makongoro yangu kila upande wa chumba. Sikujua hata ndani niliingiaje maana tulikuwa kwenye garden.

Pombe sio chai.
Basi Mimi siwezi boss
 
Smirnof tamu tamu sana. Nakumbuka mazA angu aliendaga kwa harusi akawa hajui akaipiga hii akizani ni aina za soda alirudi anaongea sana halafu hajui kama amelewa haahhahahahaa toka siku hio anaikubali sana
Hio ni noma mkula uzuri hakunywa chupa zaidi ya moja. Angeleta comedy zaidi ya hapo! 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom