Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,495
- 235,184
Sitemi[emoji23][emoji23][emoji23]Tema mate chini
Hivi watu huwa wanalewaje?
Sitemi[emoji23][emoji23][emoji23]Tema mate chini
Nicheke tu hiiiiiiii kama magu// hio chupa moja tu ya savana hakuna rangi utaacha iona dogoSitemi[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi watu huwa wanalewaje?
Vyote tuHuwezi kulewa au huwezi kunywa?
Siwez kulewa Mimi weweNicheke tu hiiiiiiii kama magu// hio chupa moja tu ya savana hakuna rangi utaacha iona dogo
Ujaribu kwanza tukubebe [emoji3]Vyote tu
Kunywa siweziUjaribu kwanza tukubebe [emoji3]
Labda usinywe ndio usilewe ila otherwise ni lazma ulewe siku nunua chupa moja tu ya savana ujinywee chumbani mwenyewe ulete mrejeshoSiwez kulewa Mimi wewe
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] duh hiyo kauli yako imenitisha, kwamba we mwenzetu una nerves za aina gani eti mama angina.Siwez kulewa hata ninywe vipi
Japo kunywa siwezi.
Mkale kimasihara hahahhaahhahhahUjaribu kwanza tukubebe [emoji3]
Tatizo siwezi kunywa.Labda usinywe ndio usilewe ila otherwise ni lazma ulewe siku nunua chupa moja tu ya savana ujinywee chumbani mwenyewe ulete mrejesho
Yeleuwi. Pombe siyo chai tena hata chai yenyewe inalevya maana ina caffeine.Sitemi[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi watu huwa wanalewaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] duh hiyo kauli yako imenitisha, kwamba we mwenzetu una nerves za aina gani eti mama angina.
Muambie huyo. Asione watu wanalala kwenye mitaro akafikiri wanaigiza.Nicheke tu hiiiiiiii kama magu// hio chupa moja tu ya savana hakuna rangi utaacha iona dogo
Mie naomba nilipie Dompo tu chupa kubwa ile. Ukiimaliza ukawa uko sawa nakukabidhi pesa ambayo nitakuwa nimegharamia kuinunua.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila Mimi nilishasema siwezi kulewa pombe..
Yaani na akili zangu timamu nilewe?? wallah siwezi.
Siwezi lewa Mimi aki ya NaniYeleuwi. Pombe siyo chai tena hata chai yenyewe inalevya maana ina caffeine.
Ntajitolea tu....upige bottle moja ty ya Dompo ama Smirn off ice 3![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani nianze tu kulewa ?Ah wapi!..huwa najiuliza sijui huwa inakuwaje
Kama ni tamu sawa.Mie naomna
Mie naomba nilipie Dompo tu chupa kubwa ile. Ukiimaliza ukawa uko sawa nakukabidhi pesa ambayo nitakuwa nimegharamia kuinunua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku jaribu hebu acha kutuchanganya vichwa na kauli zako hizo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani nianze tu kulewa ?Ah wapi!..huwa najiuliza sijui huwa inakuwaje
Yaani kabisa akili initoke nikalale mtaroni kweli?Muambie huyo. Asione watu wanalala kwenye mitaro akafikiri wanaigiza.
Tamu sana utaipenda. Ila ukizima naenda kukulaza kwangu!Kama ni tamu sawa.
Lete hapa halafu uandae na hiyo hela ya kunipa.