Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nadhani na Mimi tatizo lipo kwenye mawazo.
Hapa katikati nimepitia kipindi kigumu..overthinking inanitesa Sana, matokeo yake ni haya nimeyapata.

Nitajitahidi nipunguze
Akhsante kwa ushuhuda
Siyo jambo La Siku moja,jitahidi kusoma vitu positive ,movies nyimbo n.k

maisha ni meaningless tunajiumiza na Mangi Ila ukija kuangalia having faida sana.

enjoy the precious moments now,
life is now .
 
Siyo jambo La Siku moja,jitahidi kusoma vitu positive ,movies nyimbo n.k

maisha ni meaningless tunajiumiza na Mangi Ila ukija kuangalia having faida sana.

enjoy the precious moments now,
life is now .
Akhsante kwa ushauri sister
Nitaufanyia Kazi.
Ubarikiwe
 
Hahahaha, ukicheka na NYANI ......bunduki ya mswahili inahusika
IMG_20200530_082513.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom