Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa ulaji huo naona tatizo ni hizo limao zako,hakuna namna ya kuziacha!??!

Hvyo unavyokula tayari ni bila mpangilio kiasi kwamba ulipaswa unenepe!!

Limao zinapunguza mwili na wewe unakula kama chungwa hapa ndipo tatizo lilipo.

The only thing to fear is fear itself
 
Namna ya kuziacha labda nistop kununua. Ila naweza kustop lakini siku nikiziona tu sokoni basi mate yanajaa mdomoni, koo linaanza kuwasha, akili inakumbuka ule utamu naupata nikila 😂 basi nakuja kushtuka nishanunua, nishafika home nipo nakula

Ila ahsante, itabidi nijizuie sana. Naamini ntawezana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…