






Muone huruma
Unatia huruma sana jamani
Sa hizo ulikuwa unaota unapaa mdogo wangu
Hizi notifications zinakuja kwa kasi ya 8G ila najua ni suala la muda tuu tutaanza kuzitafutia browser
Asubiri usikuMuone huruma






Hivi wajua nimekuja hapa kwa ajili ya kuona picha yako..!!ibariki siku yangu mdogo wangu
Dada yangu Sakayo rudi ukalale dada utakua una usingizi wa kufa mtu maana umetoboa hapa leo
Sent using Jamii Forums mobile app






Umeona eeh! Embu Anza kua mfano bwana 69 ..Maneno yamekuwa mengi humu
HAPANA
Wote mlioweka picha usiku na mkafuta Mimi nawaomba Tena
Haiwezekani kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha yako ama yangu?!
Mbona tayari nishawekaUmeona eeh! Embu Anza kua mfano bwana 69 ..