Kitambo 2012-2014 five na six, hostel kadege mihogo mchana ilolo enzi za bukukuUmesoma sangu mwaka gani?
Hata mimi nimesoma Sangu O'level na hiyo sehemu nimetembea sana kwa mguu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini unaweka picha usikuHizi notifications zinakuja kwa kasi ya 8G ila najua ni suala la muda tuu tutaanza kuzitafutia browser
Hizi notifications zinakuja kwa kasi ya 8G ila najua ni suala la muda tuu tutaanza kuzitafutia browser
Kwa sababu nilikuwa peke yangu jamaniKwa nini unaweka picha usiku
Sijambo mimi jamani mdogo wangu..
Sijambo mimi jamani mdogo wangu..
Habari za wewe eti
Marudio saa ngapiKwa sababu nilikuwa peke yangu jamani
Huku ni mvua tuu ila uzima upo
Hayati na shushushu mashuhuri au sio yeye?
komesha korona
Mida ile ile ya leoMarudio saa ngapi
Yako sijaona popote.Mwanzo wa uzi... irudie hiyo yako
Ndio zinaelekea kuisha ila zipo
Marudio yanakuwaga mchanaMida ile ile ya leo
Inabidi iwe tofauti kidogoMarudio yanakuwaga mchana
Nakumbuka nlikuwekea yangu alaf wewe ukuweka yako ukakimbia
Sawa madamInabidi iwe tofauti kidogo
Inabidi iwe tofauti kidogo