Sawa tuu jamani
HAPANA
Hivi kweli uliidukua?!Kwa herufi kubwa hiyo inamaanisha kabisa, siwezi kumuonyesha dada yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuma ya kwako tuu!!
Aaahhh waapiii...







Aaahhh waapiii...
Nilikuwa na speed sana kufuta
Ya nini eti jamani
Mmmhhh
Haiwezekani ila please, iwe siri yako
Na itabaki siri yangu kweli daimaHaiwezekani ila please, iwe siri yako
Aimennn