Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,198
Wewe na blackcornshman mrudie picha.Hahahhahaha
Poleeee
Msinipe pole [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe na blackcornshman mrudie picha.Hahahhahaha
Poleeee
Yule wa kishua ujue anakunywa chai amelala[emoji23][emoji23] adi sa 5 hii??
komesha korona
EnheeeWewe na blackcornshman mrudie picha.
Msinipe pole [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Muweke picha [emoji26]Enheee
Huyo naye aliona picha, hivi alifuta na yeye picha zakee....ni mhandsome sana jamani
Yule wa kishua ujue anakunywa chai amelala
Muweke picha [emoji26]
Haiwezekani mtuumize roho hivi.
Yule inaonyesha Ni HB Sana maana alimuweka mtoto wake humu, jamani yule mtoto Ni mzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀
Hahaha hata kwenye daladala hatukai siti za wanafunzi tunakaa siti za wakubwa na tunalipa mia nne kujimwabafai , good damn old memoriesWadada walikuwa wanawapenda wakaka wa advance...wakaka wa o'level walikuwa hawapendezi
Advance unakuta kaka kajipigilia modo yake,shati Safi na ile tai utasema waziri wa fedha.
Sisi Huku na visolo vyetu kutwa kufukuzana na mwabulambo[emoji1787].
Kuna kaka flani wa Advance muslam alikuwa anapenda Sana kufanya morning prayer Assemble..watu walikuwa wanamueleva vibaya.
Ila anko Amani alikuwa mnoko Sana gettini Hadi Kuna siku watu wakamsukuma..yaani tumechelewa ticha hayupo eti hataki tupite getini Hadi mwalimu aje...wakaka wa advance wakakusanyana wakamsukuma sisi hao mbio.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jina lake gumu Sana hapo nimetumia siku nyingi Sana kukariri.Huyo blocknorshma aliweka. Jina lake gum sana.
komesha korona
Jina lake gumu Sana hapo nimetumia siku nyingi Sana kukariri.
Aliweka,yeye na Sakayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maneno yamekuwa mengi humu
Sasa wenzenu Olevel walikuwa wanavaa masweta muda wote.Hahaha hata kwenye daladala hatukai siti za wanafunzi tunakaa siti za wakubwa na tunalipa mia nne kujimwabafai , good damn old memories
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee muhandsome sanaMuweke picha [emoji26]
Haiwezekani mtuumize roho hivi.
Yule inaonyesha Ni HB Sana maana alimuweka mtoto wake humu, jamani yule mtoto Ni mzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani [emoji3526]Aisee muhandsome sana
HahahahahaHuyo blocknorshma aliweka. Jina lake gum sana.
komesha korona
Sawa tuu jamani dearKhaaaa.....! Ukimuona msalimie. Mwambie nimekumis
komesha korona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikiliangalia then nkicopy reply nalisahau. Sakayo atanipa darasa
komesha korona