Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Kabisaa
Zitarudiwaa
Kabisaa
Abeee kaka yangu mimi jamani...Sakayo kutosema kweli umeanza lini...?
komesha korona
Kumbe mkubwa kidogo kwangu..baadhi ya miaka uliyotaja nilikuwepo hapo Sangu.Kitambo 2012-2014 five na six, hostel kadege mihogo mchana ilolo enzi za bukuku
Sent using Jamii Forums mobile app
Lini hiyo?Nakumbuka nlikuwekea yangu alaf wewe ukuweka yako ukakimbia
Kwenye uzi wa likes







Kwenye uzi wa likes
Siku hizi sishindi kule Mimi.Abeee kaka yangu mimi jamani...
Serious usiku nilijimwambafai huku mwenyewe, wapwa wakaja nikaweka mbili ila mwanzo niliweka 3 full kabisaa no emoj
Sawa
Safi sana shule ya kinyamwezi sana ile jijini mbeya full kupendeza na tai zetu na modal enz hizo huku tukijiita wanachuo , kama ulikua o level basi mlikua ndio madem zetu maana tuliwekeza sana o level mlikua wazur sana kuliko dada zetu wa advanceKumbe mkubwa kidogo kwangu..baadhi ya miaka uliyotaja nilikuwepo hapo Sangu.
Yaani Hakuna banda la chipsi nilikuwa silijui ilolo.. tulikua tunakula chipsi za 500-700..Tulikuwa tunaenda Hadi sinde.
Kadeghe Kuna rafiki yangu MMoja alikuwa anakaa huko..Mara nyingine nilikuwa natembea naye Hadi huko Mimi napitiliza meta kupanda gari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wote mlioweka picha usiku na mkafuta Mimi nawaomba Tena









yani wewe. Haya umeshinda. Ushindi wa mezani.
HahahhahahaWote mlioweka picha usiku na mkafuta Mimi nawaomba Tena
Haiwezekani kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
yani wewe. Haya umeshinda. Ushindi wa mezani.
komesha korona







Amelala
Wadada walikuwa wanawapenda wakaka wa advance...wakaka wa o'level walikuwa hawapendeziSafi sana shule ya kinyamwezi sana ile jijini mbeya full kupendeza na tai zetu na modal enz hizo huku tukijiita wanachuo , kama ulikua o level basi mlikua ndio madem zetu maana tuliwekeza sana o level mlikua wazur sana kuliko dada zetu wa advance
Sent using Jamii Forums mobile app
.