Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Siku hizi umejificha wapi we kiumbe
Ukiachana na hiyo nataka anikopeshe angalau laki 1 kwa mashart nafuu kabisa.
Ukiachana na hiyo nataka anikopeshe angalau laki 1 kwa mashart nafuu kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh ukome na wewe
Daah sasa hakuna kijiwe kingine ambacho umeweka kambi kwa sasa ?? Maana wengine nikiwakosa humu najua kuna vijiwe nitawakuta wapo wanapiga soga ila wewe hata kwingine sijawahi kupishana na wewe !!
Alishanipa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Teh ukome na wewe
Usiwe na shaka ni vile tu kila ninachokiona huwa nakariri either willingly or unwilling[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] mwee, afadhali ziishie huko huko kichwani mpendwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tutambemenda mtoto jamani[emoji134][emoji134]
Oohh sawa sawa bossMi msomaji zaidi siku hizi. Kama si-post hapa, ni uzi wa Real Madrid tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeona ndiyo
Oohh hapo sawaUsiwe na shaka ni vile tu kila ninachokiona huwa nakariri either willingly or unwilling
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dogo huwa nampendea hapo tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeona ndiyo
Unishukuru mimi dadaake kwa kumlea vizuri [emoji41][emoji41]
Hee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unishukuru mimi dadaake kwa kumlea vizuri [emoji41][emoji41]