Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,782
- 182,928
Daah!! Nimesema in a positive way, nikimaanisha inavutia.
Daah!! Nimesema in a positive way, nikimaanisha inavutia.
Too handsome to handle, right?
Mimi sioni tatizo kujiachia humu maana hakuna baya nililowahi fanyaSababu ya privacy
Mdogo wangu naomba nione picha uliyofutaHata sikujua mkuu.
Samahani kukuchukulia Negative
Its okey.Hata sikujua mkuu.
Samahani kukuchukulia Negative
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapana mkuuuLakini kuna mambo hutakuwa huru kuyasema sababu ya kujiachia
Kuna watu nafahamiana nao humuUpo huru sababu hamna anayekufahamu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Duuuh!![emoji134][emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dogo angalau sasa na vindevu vimeanza kuota.
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] mwee, afadhali ziishie huko huko kichwani mpendwa.Na picha zako ukiwa baharini na kwenye Treni bado nimezisave kichwani!!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeona eenh, yaani mtoto ana balaa huyu sijui ndiyo anataka tumkubali.Ila hiyo midomo si unatuchumisha dhambi tu wazee wa watu[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Tutambemenda mtoto jamani[emoji134][emoji134][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeona eenh, yaani mtoto ana balaa huyu sijui ndiyo anataka tumkubali.
Siku hizi umejificha wapi we kiumbe