Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Nipo mbeya nikakusubiri siku ile Tazara twende ukanizingua.Siku hizi umejificha wapi we kiumbe
Nipo mbeya nikakusubiri siku ile Tazara twende ukanizingua.

oohh safari nilighairiUnazingua lini tupange?oohh safari nilighairi
Ngoja tusikilizie corona mkuuUnazingua lini tupange?
Corona isikutishe ni kamafua2.Ngoja tusikilizie corona mkuu
Ndiyo unapiga tangawizi tu.eti enh ??
Wewe ulivyo na matatizo milolongo yako ya kuweka picha unasema umemfundisha huyu dogo?nini
MkuuView attachment 1432321
Ugani na nyama choma




Kiepe yai dahhh