Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaani acha tu nilikuwa nishaanza kuboreka napitiwa na kausingizi simu iko mkononi ghafla nasikia mlio wa notifications zinamiminika kama zote nikasema hapana hii siyo whatsapp wala kitu kingine, kucheki hivi JF nikasema weweeeee.
Natamani nimnyanyue Melo juu kwa furaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Woyooo notifications za JF zimeanza kuonekana kwa notifications bar kama zamani, wapi Depal na team browser wenzie wenye gubu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mara ya mwisho kuonekana hivyo kwangu ilikuwa ni june mwaka jana, Saint Anne naona mambo yameanza kuiva taratibu tu team browser watatuelewa. [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]

Can't wait for mei mosi

Happy union's day everyoneView attachment 1430957View attachment 1430964
Notification mpak kwenye bar 😀😀
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada wewe ndiyo hauko serious kabisa, walituahidi mei mosi wanaachia msosi ila naona wameshaanza kutuonjesha kwanza jikoni kabla msosi haujafika mezani.
Hahahahah
Kama wapo serious, ziko wapi tenaaa!!
Hawa nishawazoea mimi jamani!! Nisipoona notifications naenda browser najibu then narudi kwenye app
 
Back
Top Bottom