Na wewe ni introvert?Teh, introverts hatujawahi na hatuwezi kuwa comedians mkuu.
Mbona mwandiko wako haufananii japo siku hizi umelegeza sana kamba
Sijui tatizo ni nini au mwaka mpya mambo mapya
Na wewe ni introvert?Teh, introverts hatujawahi na hatuwezi kuwa comedians mkuu.
Hujui wasabato wanavyonyoa? Angalia page ya cutting master
Utajifunza hivo hivo mkuu
Na haya manyimbo nyimbo sio yule dogo diaspora kweli?
Nimetaja hapo juu mkuu wangu
Najua utapendezea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo nataka nikaweke.
Mi nina mtu special wa kunifanyia massage mkuu wangu [emoji41][emoji41]Njoo salon yetu pale survey unyolewe bure na huduma ya massage nitakufanyia mimi mwenyewe bureeeeeeee
Utapata majibu ya maswali yako yote
Hebu nielezee huo uandishi wa kibabe ndiyo ukoje? I mean mifano yaani!Sometimes una uandishi fulani wa kibabe hivi
Inaweza ikawa sababu
Mimi ni introvert ndiyo, ila hilo swali lako lingine nitakujibu ukishanitajia id yako ya zamani.Na wewe ni introvert?
Mbona mwandiko wako haufananii japo siku hizi umelegeza sana kamba
Sijui tatizo ni nini au mwaka mpya mambo mapya
Na kweli sihitaji ushauri.Sikushauri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na kweli sihitaji ushauri.
Diaspora ni nani ?Mwifa? Hapana kama ni wewe Diaspora utanieleza huu mchezo umeanza lini!
Mimi nitatoa ofa tu ili upime huduma na zikiwa nzuri ukauze jina letuMi nina mtu special wa kunifanyia massage mkuu wangu [emoji41][emoji41]
Kama ule uliokuwa unautumia kipindi bado unajiita EdelynHebu nielezee huo uandishi wa kibabe ndiyo ukoje? I mean mifano yaani!
Id ya zamani MwifaMimi ni introvert ndiyo, ila hilo swali lako lingine nitakujibu ukishanitajia id yako ya zamani.
Atoto una majibu ya kikatili kama baba jesikaNa kweli sihitaji ushauri.
Hapana, mwifa hana huu uchangamfu.Id ya zamani Mwifa
Naona mnanifananisha na diaspora
Sijui diaspora ni nani
Hizi dhana zingine sijui mnazitoa wapi aise, kweli wabongo tuna phd za kukariri maisha. [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwee basi na mimi nitaacha