Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,561
- 88,568
Hizi dhana zingine sijui mnazitoa wapi aise, kweli wabongo tuna phd za kukariri maisha. [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Hongera unajielewa Mkuu.
Maana wadada wengi unakuta wamepaka bleach na kisha way hata salamu unaogopa kutoa maana unaweza jikuta wanakucharge hela ya salamu.
Sent using Jamii Forums mobile app