Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,031
- 34,666
One and only one dadmom
Na hataki kutuambia yeye ni nani?
We Jamaa ni Bonge la Comedian.Burundi Bwacu, Burundi buhire,
Shinga icumu mu mashinga,
Gaba intahe y'ubugabo ku bugingo.
Warapfunywe ntiwapfuye,
Warahabishijwe ntiwahababuka,
Uhagurukana, uhagurukana, uhagurukana, ubugabo urikukira.
Komerwamashyi n'amakungu,
Habwa impundu nabawe,
Isamirane mu mashinga, isamirane mu mashinga,
Burundi ..........................
Nyie hampendi wenyeji ?Huyu mwenyeji kabisa yaani.
Ahahahah divai mpya kwenye kasiki ya zamaniMimi mwenyewe nimeshituka.
Kuna swali nimemuuliza linataka kufanana kama lako.. nasubiri anijibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunapenda wageni tuuu. Wageni huja na neema ila sio kipindi hiki.Nyie hampendi wenyeji ?
Tatizo dada zangu wapendwa wazuri zuri mnakuwa waoga sana kama vile mnaoga main roadSaloon yenyewe umesikia jina lake lakini? Kuna kunyolewa kweli hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
How do u know ?
Kwanza hakuna saloon hapo.
To cut the long story shortNa hataki kutuambia yeye ni nani?
Kwanini mkuu
Haya.To cut the long story short
Mimi ni mdogo wake GENTAMYCINE
Kipindi hiki ukimpata mgeniTunapenda wageni tuuu. Wageni huja na neema ila sio kipindi hiki.
MwifaId yako ya siku zote ni gani?
One and only one dadmom
Kuna tatizo sehemu yoyote labda ?
Hujui wasabato wanavyonyoa? Angalia page ya cutting masterMwee hiyo panki ya kisabato ndiyo ikoje? Huyo cutting master nitaenda kwake siku moja maana siyo kwa kusifiwa huko!
Hakuna cha kunigharimu dear. Then some issues like??! I said huko nyuma nilishaweka ni almost 5-7 yrs ago au hukuelewa?Wewe ni mtoto wa kike lakini. Some issues hazitarajiwi toka kwako.
Dont care attitude inaweza kukugharimu
Try to abide to African traditional practices
Bring your body next to meeeee aya ayaaaaaaHakuna cha kunigharimu dear. Then some issues like??! I said huko nyuma nilishaweka ni almost 5-7 yrs ago au hukuelewa?
Kipi hujakitarajia?!!!
Naona kama vile you're out of topic/my comment
Mimi nina ka ujuzi kidogo ka kuimba. Naweza nikakupiga msasa