Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Just a fashion..... mambo ya uhuni ni tabia binafsi, either una low curt plus way, hijjab, mawigi, unasuka kama una tabia za kihuni hizo ni zako tu.
Ila mimi ya machine hapana kwa sasa hivi thoe huko nyuma nishawahi kuweka. (Mama akanambia marufuku sikurudia tena
Low curt esp. Panki ile ya kisabato ikiwa na way inapendeza...nawaonaga wadada wa cutting master
Nywele yangu ikiwa na curl weekend naweka ya kitana (nimezoea...ukiniona muhuni shauri yako
Wewe ni mtoto wa kike lakini. Some issues hazitarajiwi toka kwako.

Dont care attitude inaweza kukugharimu

Try to abide to African traditional practices
 
Uwii naomba Mungu anishikilie hivi hivi hadi huu mwaka uishe nisije ita mtoto wa mtu "my everything" au kumuimbia mashairi ya uongo na kweli kama hayo, kwanza hata sijui kuimba.
Endelea kukaza

Siku moja husije ukajikuta unamuimbia mwamba haya mashairi.

Alivyoniingia (sikumbuki)
Akanizoea (sikumbuki)
Moyo akanipa na wangu nkautua

Ningefanyaje na we haukua karibu na mimi
Lakini ye ndie alikua ananijali mimi Ntafanyaje na ye yu tayari kuishi mimi Lakini wee ndie tulizo la moyo wangu.....
 
Mwee hiyo panki ya kisabato ndiyo ikoje? Huyo cutting master nitaenda kwake siku moja maana siyo kwa kusifiwa huko!
Just a fashion..... mambo ya uhuni ni tabia binafsi, either una low curt plus way, hijjab, mawigi, unasuka kama una tabia za kihuni hizo ni zako tu.
Ila mimi ya machine hapana kwa sasa hivi thoe huko nyuma nishawahi kuweka. (Mama akanambia marufuku sikurudia tena
Low curt esp. Panki ile ya kisabato ikiwa na way inapendeza...nawaonaga wadada wa cutting master
Nywele yangu ikiwa na curl weekend naweka ya kitana (nimezoea...ukiniona muhuni shauri yako
 
Uwii halafu hata jina lake na la saluni yake sijakariri, nimekariri tu sura yake na ile njia ya kuingilia kwenye saluni yake hata yeye amenikariri tu sura ila namba hatukupeana.

By the way ni vile nimenyoa mwaka huu na tangu nimeanza kunyoa nimeenda kwake mara tatu tu, nina mpango wa kuenda tena soon kwahiyo this time nikienda kama utakuwa bado haujanyoa nitakutajia jina lake ni ananyoa vizuri kwa kweli.
Fanya Hivyo Mdogo wangu.
BTW mimi nina Low Cut kwa Sasa.. Tangu mwaka uanze.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sioni shida katika way...binafsi
Makiseo yale mawigi uliyokuwa unavaa zamani hayana way?
Kuna way ya kitana na way ya machine. Sometimes esp. Weekends nawekaga way ya kitana
Halafu unaweza usiamini.. Kitu inaitwa wigi sijawahi weka kichwani mwangu.
Kuweka way binafsi sipendi.. ila mtu akiweka naona ni sawa tu.. maana ni Mapenzi yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ndiyo Kinyozi wangu ila naona wa kawaida tu..Kwanza staili zake ni hizo hizo.. Kinachomsaidia anajipa Promo sana
Kuna Mmoja huyo nimemuona Ista.. nataka this time niende.
Mwee hiyo panki ya kisabato ndiyo ikoje? Huyo cutting master nitaenda kwake siku moja maana siyo kwa kusifiwa huko!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom