hata wewe umetukimbia mama wa chat na picha
Itakuwa kuna mtu kampiku kwa dawa![]()
Niko bizee na kilimo cha mpunga mpendwa 😀😀hata wewe umetukimbia mama wa chat na picha

daah sawa best hongera na ubize
Niko bizee na kilimo cha mpunga mpendwa![]()
Kuna kipindi ukipotea humu masaa matatu au mawili utakuta page 10+ hivi, siku hizi hata siku mbili bado page ile ile , sijui nini kimetokea.
Masela sijui wameenda wapi? Au Box limekaza.
Sent from my iPhone using JamiiForums

Uzi umekuwa wa kishua huu wa buza tunapita kimya kimya
Mi nakaa Buza Najua Ratiba zote za Ndege na train inaweza kuwa msaada kwa wadau wengine.
.
, Sawa , kama jina silijua ntauliza , siku nyingine sintakua mshamba. 

Sawa mkuuHiyo sasa tunatengana, Jamii bora ni ile isiyojiona kwa
Matabaka, Iwe buza au Airport kwa nyuma Tufanye kushare mambo yetu wote .Mi nakaa Buza Najua Ratiba zote za Ndege na train inaweza kuwa msaada kwa wadau wengine.
Tuselfike tu,
Sisi tuna group letu eneo la wanaopenda kupiga picha. Huwa tukiitisha photowalk, anakuja kila mtu.Anayekuja na Camera ya Milioni 28 sawa, anayekuja na Camera ya ki Itel chake sawa, asiyekuja hata na camera sawaaa, Tunaenjoy wengine tunaenda tunapigwa picha na mapro , Album imejaa picha kali za bureee.
Tunatakiwa kuselfika hapa hivyo pia , (IMO ie In my Opinion)
Mtu akipost nywele sawa? Kama nzuri tunaomba mafuta anayotumia, mtu akipost Muscles , sawa , kuna mtu atakua motivated hata kupiga gym la vizege na makopo, Watu waliopo nje wanatuosha sana macho, Tunaona vitu live bila chenga, tunajifunza.
Atakaepost msosi, Sawa , kama jina silijua ntauliza , siku nyingine sintakua mshamba.
Atakae post Lips, kucha, shingo nzuri sawaaa, watu tunafarijika
.
Tunajipa tu raha wenyewe.
Huwa nahudhuria uzi flani wa waosha vinywa nikija hapa napata kureax , ila siku hizi ukija , page ile ile
Hope mambo yatarudi kama zamani.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Umenena vema suala ni kuenjoy na kupata vitu tofauti tofauti in different anglesHiyo sasa tunatengana, Jamii bora ni ile isiyojiona kwa
Matabaka, Iwe buza au Airport kwa nyuma Tufanye kushare mambo yetu wote .Mi nakaa Buza Najua Ratiba zote za Ndege na train inaweza kuwa msaada kwa wadau wengine.
Tuselfike tu,
Sisi tuna group letu eneo la wanaopenda kupiga picha. Huwa tukiitisha photowalk, anakuja kila mtu.Anayekuja na Camera ya Milioni 28 sawa, anayekuja na Camera ya ki Itel chake sawa, asiyekuja hata na camera sawaaa, Tunaenjoy wengine tunaenda tunapigwa picha na mapro , Album imejaa picha kali za bureee.
Tunatakiwa kuselfika hapa hivyo pia , (IMO ie In my Opinion)
Mtu akipost nywele sawa? Kama nzuri tunaomba mafuta anayotumia, mtu akipost Muscles , sawa , kuna mtu atakua motivated hata kupiga gym la vizege na makopo, Watu waliopo nje wanatuosha sana macho, Tunaona vitu live bila chenga, tunajifunza.
Atakaepost msosi, Sawa , kama jina silijua ntauliza , siku nyingine sintakua mshamba.
Atakae post Lips, kucha, shingo nzuri sawaaa, watu tunafarijika
.
Tunajipa tu raha wenyewe.
Huwa nahudhuria uzi flani wa waosha vinywa nikija hapa napata kureax , ila siku hizi ukija , page ile ile
Hope mambo yatarudi kama zamani.
Sent from my iPhone using JamiiForums
🤣🤣 Uzi umekuwa wa aina flani ya watu.Kuna kipindi ukipotea humu masaa matatu au mawili utakuta page 10+ hivi, siku hizi hata siku mbili bado page ile ile , sijui nini kimetokea.
Masela sijui wameenda wapi? Au Box limekaza.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Upo makini mkuuMuhimbili hii ! Jakaya Kikwete Cardiac Center .
Sent from my iPhone using JamiiForums