Mwanzoni selfie zilikuwa selfie kweli, wengine tukajisahau na madawa ya
Mshana Jr tukajipost bila hata emoj waliona wakaona...
watu wengine ni anonymous forever hawataki hata aina ya vidole vyao vifahamike hapa JF.
Mwingine katupia zake kiatu kikali kasema
Nyani Ngabu unakuwa huwezi kujua kama ni chake au cha google kisa tu amekipost member fulani hapa raia wanaona yule kama anaSHOW OFF kisa kapost kitu kikali / cha gharama.
Me naona mitazamo ya watu ndio iko hoves
mtu anapata kiungulia cha nafsi kisa kuna member kapost gari ya mzungu akijicheck yeye hata ya mchina hana au ipo garage huu mwez wa 7 ni lazima ahisi yule member anajimwambafy kumbe walaa mtazamo wake ndio umempeleka pabaya.
Ni hayo tu,
Don't hate, get inspired