FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,556
Amu swetingi laiki koldi... Bati nathingi evriwea[emoji20]Hei zea amu uzingi gugo
Sent using Jamii Forums mobile app
Amu swetingi laiki koldi... Bati nathingi evriwea[emoji20]Hei zea amu uzingi gugo
Hahahahaha
Kijiji kinaogopesha mno bora hapajui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huko sipajuii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].... Welkamu tu ze jingoHahahahaha
Samtaimz ai endi apu lafingi
Wewe kuku huyu sio wewe unataka iba nauli za watu.Maeneo flani napumzika muda uende nikashushe netView attachment 1355564
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi bahatisha picha yakoKwa nini mkuu
Hhahahaahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].... Welkamu tu ze jingo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kijiji kinaogopesha mno bora hapajui
Hayo maji yalishawai kunifanya nikastop kunywa kwa muda
Oni mai wei zeni
Utakuwepo ShemejiWewe najua tutakutana marathon...
Lol nilisahau wabongo tuna roho za ki-JPM. Anyway ni muda wa ku-log out na kuendelea na maisha sasa.
Na Mimi nipate japo mrembo wa JF kuienzi forum yetu jamani.
Kwamba?!Naunga mkono hii hoja