Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Usinisahau na mimi jamani dada
Watu wa huu uzi mkitoa ahadi mkamilishe tafadhali....
Tunaangushana jamanii...
Wale wa raba
Saa
Bag
Tshet
Mpaka saivi mepokea raba moja matata saaanaaa....
 
Dina simple kabisa.

Karibuni
IMG_20200211_201644.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha, obvious. Kama huna kitu cha kushow off huu uzi siyo rafiki.

Ukute ndo wale wa aliyeko juu mngoje chini ndo kabisa utaukimbia.
Sure man, unatembelea comments zote haukuti selfie unakuta showoff za magari, vyakula, picha za migahawa na mahotels.
Mwanzo huu Uzi ndio ulikuwa na maana watu wanaweka selfie zao sasa hivi ni maonesho ya ulichonacho.
 
Nyie mbona hamjaweka zenu? Don Clericuzio
Wengine hapa tulishajitupia mpaka ikaonekana mnatuvuna ndo maana tukaondoka na waliobaki wanakazi ya kuchat na kusambaza likes.
Watu wanapost vitu vyenye wanajisikia nyie mnaona SHOWOFF 😂😂 jamani hii karne nayo iishege tu
 
Mimi nauelewa huu uzi vizuri sana.

Phase zote hazinipi favor, maana sura ya kutuma sina, wala vitu vya ku-show off sina.

Ila nafurahi na napata changamoto ya kujibidiisha ili nipate cha angalau kujipa nacho matumaini.

To me it is inspirational thread.

Napenda pia kwamba ni thread isiyo na negative vibe, watu wako positive na wana appreciate kila kinachopostiwa humu.
 
Back
Top Bottom