CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,149
- 24,052
Saint anne hatujafika page ya 3000 usintanie et...
Tatizo wengine wanaongea na mimi kwenye simu
wakisikia sauti hudhani na mwili utakua kama sauti ilivyo kumbee..
wengine wakisoma Thread wana imagine hadi mwili wa muandika thread[emoji28]
Mmepona na TCRA au mmedakwa?
Ngoja niuze gonga 1 la tanzaniteNisaidie kupambana jamani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ngoja kwanza niende kuanzia 3000 nikapembue mchele na chuya[emoji7][emoji7]
Pambana dadako anataka verosa
Saint anne hatujafika page ya 3000 usintanie et...
Pambana dadako anataka verosa
Kikapuu tuu, kwani wewe kwenye bag utaweka niniii jamaniHuyo Dereee utampa kikapu na nini?
Mwiiii
JamaniiSawa usijali dada niombee nikununulie range rover kabisa achana na hizo verossa
Sent using Jamii Forums mobile app
NimeponaMmepona na TCRA au mmedakwa?
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji7][emoji7][emoji7]Ngoja niuze gonga 1 la tanzanite
HallelujahPambana dadako anataka verosa
Acha habari zako jamaniNimemuambia nitamnunulia range rover kabisa Inshaallah,, wala asijali..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho ambacho tutafanya barter trade 🤔Ambacho natumia mimi au kipyaa?!!
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
OoohhhHicho ambacho tutafanya barter trade [emoji848]
mi ntakuwekea vitu vitu bana,ntatumaje empty bag lakiniKikapuu tuu, kwani wewe kwenye bag utaweka niniii jamani