Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
HahahahahahYokozuna mix veve ni hatari sana [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Jr[emoji769]
HahahahahahYokozuna mix veve ni hatari sana [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Jr[emoji769]
Ndo gubu lenyewe Hilo[emoji85]asee nikukute central tafadhali
hana kagubu "ana hasira" za karibu
Na ndiyo wiki yangu ya mwisho kupuyanga.
Ewaaah Safi sana bosslady kweli unampenda dadako
Sasa umefika Hadi hapo halafu unachoka?
Sogea sogea mbele
Wenzio tulikesha humu usiku na mchana kwa muda wa wiki 2 Hadi macho yalitaka kututoka..
Wewe dk chache tu hizi umechoka??[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaonaje kwani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya
Kitaa hapo tunasema "wanajambisha".
Hata sikumbuki jamani
Subiri wakudake mpaka salio ushindwe kutoa.
Pole na msukosuko.Nimepona
Nadhani niko kwenye awamu ya pili
Basi tena ndio alivyoumbwa hamna namna
luks laik yu tuk zis kikapu pcha sam weaView attachment 1330046hia iti izi, du ze nidifuli puliiziii
Bahati nzuri sijaacha shilingi yangu yoyote Kwenye line zangu.Subiri wakudake mpaka salio ushindwe kutoa.