Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kweli hata mie nimeona uko kwenye kamood fulani hivi amazing

Mwee hivi kwanini watu wanapenda kujitengenezea picha za watu vichwani mwao

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo wengine wanaongea na mimi kwenye simu

wakisikia sauti hudhani na mwili utakua kama sauti ilivyo kumbee..

wengine wakisoma Thread wana imagine hadi mwili wa muandika thread😅
 
Back
Top Bottom