Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Comment ya ef3Saint anne hatujafika page ya 3000 usintanie et...
Nimesema page za mwanzo comment ya ef3
Sent using Jamii Forums mobile app
Comment ya ef3Saint anne hatujafika page ya 3000 usintanie et...
bwana bwana bwana wakisikia watafunga jamani
Huku Jf umekaa kibabe Sana ndiyo maanaTatizo wengine wanaongea na mimi kwenye simu
wakisikia sauti hudhani na mwili utakua kama sauti ilivyo kumbee..
wengine wakisoma Thread wana imagine hadi mwili wa muandika thread![]()
Wanisikie tu na wafunge Kama wanawezabwana bwana bwana wakisikia watafunga jamani

Na ndiyo wiki yangu ya mwisho kupuyanga.
Ewaaah Safi sana bosslady kweli unampenda dadakoNimemuambia nitamnunulia range rover kabisa Inshaallah,, wala asijali..
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari dogo Karma kashafunga mjadala jiandae kupokea Range
Hebu du ze nidifuli pleasemi ntakuwekea vitu vitu bana,ntatumaje empty bag lakini
Huyo maneno mingiiiiTayari dogo Karma kashafunga mjadala jiandae kupokea Range
i want ze kikapuz picha festHebu du ze nidifuli please
Kitambo Sana.
Hadi nilishafuta
Sasa umefika Hadi hapo halafu unachoka?kipengele cha kutafuta picha zako Saint anne si kidogo
nmejikaza ila nikafikia hii comment yakoumemwambia mtu
nikasema hapa natafuta rangi ya upepo,ntakesha buree
bora tu nirudi kukuambia tu leo umenikomesha,sema badoo naombaa
tusifanyiane hivyo bana,wewe si mtakatifu lakini jamani Saint anne

Ila ana kagubu flani hiviusiseme hivyo bana CONTROLA ni tofauti na maandishi yake
ukiletewa hapo mbele yako hajai hata kwenye kisosi,sema sasaaa

asee nikukute central tafadhali
i want ze kikapuz picha fest