Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,487
Ongeza sauti jamani mkuucckarma do the needful
Hahahahahah
Ya verosa jamani dear
Mimi najuaga ni kachalii tuuleo nipo kwenye mood flani hivi halafu
kuna watu wanajuaga nina limwili hilooo![]()
Pole mnoo dear
chaliiii baabuu yakooo 😅Mimi najuaga ni kachalii tuu
Nitume kwa bus gani yenye inafika harakatubadilishane wewe nipe kikapu mimi nakupa hili

KIMBINYIKO 😅Nitume kwa bus gani yenye inafika haraka![]()
Weka picha Basi controla.
haya tulia ebu mbona kwako nmeambulia kuona unywele tu

Hujaiona hadi saivi kweli>?
sasa picha ya kikapu sijaiona,usije kuta unantumia kisalfeti🤔
Ndo niko na dereva hapa kuna dogo namtumia mzigo!!
sasa picha ya kikapu sijaiona,usije kuta unantumia kisalfeti![]()







