Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] mwee mie uzunguni napafahamu kwa mkuu wa mkoa na hoteli ya sugu tu basi huko kwingine sipafahamu,, mie siyo wa ushuani huko kaka mie wa uswahilini kule forest ya zamani na mabatini ndiyo mitaa yangu.. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hukohuko mabatini poa so utanipeleka chaka forest.Moyo ukifurahi hata mabatini ni patamu kushinda huko uzunguni.
 
Ngoja nikamhonge Maksi afanye mafrekechee hiyo makitu hapo isomeke Espy halafu namuambia asikubadilishie ng'oo hata umuombe vipi,, nimegundua tukikubembeleza wewe tunajisumbua tu..

Saint anne are you in
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna kurudi nyuma, ni "mbere kwa mbere" tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom