Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ngoja nikamhonge Maksi afanye mafrekechee hiyo makitu hapo isomeke Espy halafu namuambia asikubadilishie ng'oo hata umuombe vipi,, nimegundua tukikubembeleza wewe tunajisumbua tu..

Saint anne are you in

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si naachana nayo nafungua mpya yenye jina hili[emoji12]
 
Na wewe lini utanipeleka huko magharibi mwa dunia,, na mimi nikaonje cha malkia tena uniandalie rizla za kutosha siyo makaratasi..

Cc Da'Vinci

Sent using Jamii Forums mobile app
Hasa ntakupeleka vipi huko wakati mwenyewe mgeni nimekaribishwa tu,Mimi ntakupeleka kwetu Mwanza Nyegezi na Juba Sudan kusini ninapopiga kibarua kama utaliweza joto la Juba.
 
Bado nitamfuata tena na kumuongezea mshiko mwingine ahakikishe anakutrack kila unapofungua id mpya anakupiga ban halafu anaiacha hii tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Lol itabidi tumtafute member unayemkubali sana humu (kama hajapigwa ban) atusaidie kukubembeleza labda utakubali sisi tumeshindwa kazi [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si naachana nayo nafungua mpya yenye jina hili[emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aahh kaka kama joto la dar tu linanishinda hilo la juba ndiyo nitaliweza,, woii wacha nisote bongo kwanza huko kwa malkia nitaendaga tu inshaallah..

Back
Top Bottom