Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,782
- 182,928
Fanya kamchakato basi[emoji12]
Fanya kamchakato basi[emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ujue ile 'atoto' ilikuwa na appealing flani hivi. 'Atoto' sio sana ila ilikuwa afadhali kuliko hii ya sasa. Nakuja kwa amani, mpendwa.
Ni muda wa kurudi kwenye ile ya espy[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ambavyo Paulo ilikuwa.
Izoee na hii mpendwa.
Bora umesemaUjue ile 'atoto' ilikuwa na appealing flani hivi. 'Atoto' sio sana ila ilikuwa afadhali kuliko hii ya sasa. Nakuja kwa amani, mpendwa.
Tupo kazini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lini unarudi huko tukutane Ubungo natamani sana kukanyaga cha Mbeya.
Unavyopenda adventure sasa; ujue na uzee wangu wote huu sijawahi kupanda treni eti
Asubuhi saa tatu na nusu in Mount Edgecumbe Cornwall.View attachment 1327416
Na begi nimeshaandaa, nasubiri safari tu[emoji12][emoji12]
Ndiyo siyo ya New Zealand au Australia au USA Cornish orijino.
Ndio mkuu ulijus mimi dini gani mkuu?
Kwa nini ukajua na kuhisi hivyo mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lini Dadake nijipange unipeleke uzunguni kwa kina Dr Mponjoli na God Malakasuka nikabembembee mimi.
Ndiyo siyo ya New Zealand au Australia au USA Cornish orijino.
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haya na ticket uandae kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app