Kwahiyo na sisi wanawake tunaopenda kuendesha manual kuliko auto ni wanaume siyo
Sent using Jamii Forums mobile app

Basi Karma wewe ni tomboy, hebu niambie unapendelea mavazi gani
Ona hiyo mdogo wangu kigimbiiii
Ona hiyo mdogo wangu kigimbiiii
Unaendesha gari gani?Hahahaha wanaume hapo ndipo mnaponiacha hoi sasa hapo mambo ya usawa yanaingiaje,, mimi kama mwanamke katika uzoefu wangu wa kuendesha magari nimejikuta napenda zaidi manual kuliko auto sasa hayo ya usawa yanaingiaje hapo hebu nielezee vizuri..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio gari ina clutch ngumu sana
Zile za Google zinakuwa hazinapigwa na camera Anne?Ukipost picha Kama Ni ya kugoogle inajulikana tu mbona,iliyopigwa inajulikna pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Zinapigwa na camera ndiyo ila huku Jf huwa inaonyesha..km umetoa kwenye camera yako au Google au WhatsApp au fb inaonyesha chini ya pichaZile za Google zinakuwa hazinapigwa na camera Anne?
Jordan retro 13Jordan 23 sio yes nayo naipenda , sema hii ili_trend sana kipindi kile jordan kabla ya kuacha basketball, kila mtu alitaka kuiva
Mkuu aina hiyo hiyoo tena namba 42,sala zangu zote juu yako na Mwenyezi Mungu Akubarikii.Aina hii hii?
Utaniambia unavaa namba ngapi na aina ya kiatu.