Mbona ka Jasho la shoo ya kibabe kwenye joto la Dar.
Ndio uyo wewe
Naona aibu imemshika [emoji23][emoji23]Hahahahaha
Akikuja unitag
Nah my cousin.Ndio uyo wewe
Hivi huwa ana aibu eeehhhNaona aibu imemshika [emoji23][emoji23]
God save us
Unaendesha gari gani?
Ninong'oneze PM
Ninong'oneze PM
Pita ndani nakusubiri
Kitamu sana hiki kiatu. Rangi uliyoichagua ni nzuri. Hapa kama hauvai suruali za kubana lazima unatokelezea sana[emoji7].Hio 13 nitaitafuta miezi michache ijayo. Wacha niisage hii MJ 6 Rings KwanzaView attachment 1323453
Asante Blance.Mkuu aina hiyo hiyoo tena namba 42,sala zangu zote juu yako na Mwenyezi Mungu Akubarikii.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji4][emoji4][emoji4]Zinapigwa na camera ndiyo ila huku Jf huwa inaonyesha..km umetoa kwenye camera yako au Google au WhatsApp au fb inaonyesha chini ya picha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiatu kizuri, kimetulia mguuni na mguu upo
Maweeee