Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,485
Nipo kiongoziHahahaha, Mkuu Upo
MTC | 101|![]()
Mwanaume na mambo ya nyoronyoro wapi na wapi, hizo auto ni za kwenu wakina mama, ulishaona wapi malori wanaendesha wanawakeKwa hiyo wanaume Raha yenu Ni zile tabu tabu za kupangua gia??aisee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha muhuni sana wewe,Hasa ukiwa umepakia mrembo unaweza kugusa paja ukasingizia umeikosa gear lever
Ahhhhh hii brand ya nike haijawahi kunichosha , akili ipo Sana kwa nike, kuliko adidas,puma,fila nk
Aina hii hii?