Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Rest easy, Guru.
Hongera mkuuuKwenye TV panaonekana pakubwa eh?
Hapo ni Whitehouse kwa Donald
Hiyo ngoma enzi hizo ikipigwa nilikuwa najiona mgumu na kauzu hasa pale anaposema mind ur business lady.
Give a dog a bone
Hiyo ngoma enzi hizo ikipigwa nilikuwa najiona mgumu na kauzu hasa pale anaposema mind ur business lady.
Give a dog a bone
Leave a dog alone
Let a dog roam
And he'll find his way home
Chat na picha, Duh, hamwezi amini nimepata demu humu humu 🤣, Ndio maana napenda uzi huu. Uzi huu udumu tuzidi kupata fursa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Acha tuI miss the big dog, man. Only rapper leo hii ataweza kuninyanyua kwenye siti kupiga shangwe.
Chat na picha, Duh, hamwezi amini nimepata demu humu humu, Ndio maana napenda uzi huu. Uzi huu udumu tuzidi kupata fursa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Looks like Manchester city tickets broSiipendi Man united lakini siwezi kukataa ticket za bure,kwa wale mlioko huko UK tarehe21 naomba mnikaribishe.View attachment 1324543
Duh ngoja nipambane....kumbe wanapatikana!Chat na picha, Duh, hamwezi amini nimepata demu humu humu 🤣, Ndio maana napenda uzi huu. Uzi huu udumu tuzidi kupata fursa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Man city bro upo nimefurahi mpaka naremix.Looks like Manchester city tickets bro
Hongera sana mkuuuuuChat na picha, Duh, hamwezi amini nimepata demu humu humu 🤣, Ndio maana napenda uzi huu. Uzi huu udumu tuzidi kupata fursa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Duuuu si hongeraChat na picha, Duh, hamwezi amini nimepata demu humu humu 🤣, Ndio maana napenda uzi huu. Uzi huu udumu tuzidi kupata fursa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahaha, asee ngoja nifunge VAR nisipitwe na matukioDuh ngoja nipambane....kumbe wanapatikana!
