Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,509
- 235,214
Mens US11/UK10.5
[emoji4][emoji4][emoji4]Yaani kwamba hizo nyama mbili na huto tudude twingine pekee ndiyo lunch !??
Sent using Jamii Forums mobile app
Haki ya Nani nikija huko nitakufa njaa[emoji23][emoji23][emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]kweli?Mens US11/UK10.5
Wewe unavaa namba ngapi? Nitakununulia.
Kweli kabisa. Ninong'oneze namba na utakipata kiatu ASAP.[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]kweli?
Nitakunong'oneza maana navaa namba kubwa Hadi najiogopa[emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Waow [emoji7][emoji7][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]jamaniKweli kabisa. Ninong'oneze namba na utakipata kiatu ASAP.
Itakuwa pia ni njia ya kusema "thank you ".
Ewaaaa! Hapa lazima upate msisimko ule wa coca-cola [emoji39]
Jamani na mimi naombaaaaa[emoji4]Kweli kabisa. Ninong'oneze namba na utakipata kiatu ASAP.
Itakuwa pia ni njia ya kusema "thank you ".
Chibonge you are looking so mwaaaaaaaa![emoji18][emoji18][emoji18]
Waow [emoji7][emoji7][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]jamani
Karma itabidi unitafutie nguo ya kuvalia hii raba,SI unajua nikivaa na Yale mamifuko yangu nitakuwa kituko[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha hapana. Kuna muda unachoka kitu, unabadili mazingira tu. Umri pia unafanya tunaacha baadhi ya mambo.