RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,730
- 129,410
Ila manual na foleni zetu za Dar ni changamotoSafi ,yani kuendesha auto hanipi mzuka kama manual mambo ya kupangua gia
Ila manual na foleni zetu za Dar ni changamotoSafi ,yani kuendesha auto hanipi mzuka kama manual mambo ya kupangua gia
Kwa hiyo wanaume Raha yenu Ni zile tabu tabu za kupangua gia??aisee.Safi ,yani kuendesha auto hanipi mzuka kama manual mambo ya kupangua gia
AsanteDah heri ya 2020 mtu wa nguvu
Kwa hiyo wanaume Raha yenu Ni zile tabu tabu za kupangua gia??aisee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi kweli kweliSi ndiyo anakuwa anajihisi kuwa kweli kaendesha gari,, Tofauti na hapo anakuwa anajihisi kama katembelea makalio tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hasa ukiwa umepakia mrembo unaweza kugusa paja ukasingizia umeikosa gear leverKwa hiyo wanaume Raha yenu Ni zile tabu tabu za kupangua gia??aisee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Missing you more brother...Missed sissy
Jr![]()
Kumbe waaribifu wa simu tuko wengi (root)moja kati ya kitu ambacho google wananifurahisha katika google map ni timeline update.
hii kitu inafanya kazi very accurately. haidanganyi wala wewe huwezi kuidanganya. labda ufanye hivyo ukiwa unatumia simu ambayo imefanyiwa rooting(kwa wale watundu wa kucheza na simu).
hizi ni screen image kutoka kwenye timeline yangu hivi karibuni, ikionyesha baadhi ya maeneo niliyoyatembelea nilipokuwa vacation stone town, zanzibar.
View attachment 1321464View attachment 1321465View attachment 1321466
DuhHasa ukiwa umepakia mrembo unaweza kugusa paja ukasingizia umeikosa gear lever



NitakujaMwisho wa reli huku kabisa
Okay,basi next Sunday nitawakilisha
HahahahaKuna watu maisha yao wamejitoa sadaka jamani looh

Mzee wa VARHahahaha
MTC | 101|![]()
Utamlaje mpishi halafu kesho atapika nani?Shemeji sie wa huku Olidonyolengai porini porini tuliozoea kula mbuzi mzima tutashiba kweli ?
Au ndio tutakula na mpishi mwenyewe?![]()


.uzi unaanza kupoteza maana. sitoshangaa wahusika wakiufuta.
Yaani kwamba hizo nyama mbili na huto tudude twingine pekee ndiyo lunch !??Utamlaje mpishi halafu kesho atapika nani?
Hapo lazima ushibe, kuna vitu vimewekwa ndani vinashibisha haswa.
Ila jamani unakulaje mbuzi mzima mwenyewe na wakati mbuzi mmoja wana kula watu 20+?