😀😀 Bana mapaja
Yamebanika bana, muone😀😀 Bana mapaja


namjua una bei gani nikwambie
Huyu mkaka aliejaza screen ni nani jamani? Halafu nimeitafuta hiyo picha nimeikosa.
Namsalimia tu na kumtakia kheri ya mwaka mpya.
Amu. View attachment 1309379
Sent using Jamii Forums mobile app

Ushatoka hapo nije kukusalimia.?
Simu yako ilikuwa na sim card mtandao wa Kyelacom nini ?Mie niliweka namba za NIDA kama vocha ikaja ya buku 5 nikajiunga kifurushi cha wiki
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣 hakipigagi bana nan kasema.
Si naonaga mataambo yako na mikwala miingiiihakipigagi bana nan kasema.
Nina sahani ya biriani kaka.namjua una bei gani nikwambie
Jr![]()
Kweli ni mzinga wa Asali tena ya nyuki wadogo hio! Utamu wake siongelei.
2020, nimeamua rasmi kupunguza muda ninaoutumia kunywa na kurudi kwenye tabia yangu ya kusoma vitabuView attachment 1309415
Braza hongera kwa kua na library
🤣🤣🤣🤣🤣 zile siasa tu mamaa!