Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,392
- 59,148
Fanya mchakato mdogo wangu mzuriHaha wewe tena....
Utaikuta kwa waziri mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya mchakato mdogo wangu mzuriHaha wewe tena....
Utaikuta kwa waziri mkuu
Mie niliweka namba za NIDA kama vocha ikaja ya buku 5 nikajiunga kifurushi cha wiki [emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aiiiseeeMie niliweka namba za NIDA kama vocha ikaja ya buku 5 nikajiunga kifurushi cha wiki [emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha!
Nipo sahihi!!
*Msiwe mnaogopa kujaribu,juzi luku iliisha nikaweka zile namba za NIDA umeme ukawaka*[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jr[emoji769]
Wow! Mashalah[emoji6][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Cc Smart911 View attachment 1308429
Sent using Jamii Forums mobile app
😄😄😄sawaaa😀😀😀 nilikuwa nakuvutia kasi kwanza
Jirani njoo Orlando gardenRaba nzuri
Jirani njoo Orlando garden
Usisahau kubeba ndizi na maparachichiNipo homeland