Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
Asante sana niece, nawe pia uzidi kuiona furaha ya kuwepo duniani.
Wadada wa hivi humu mpo wangapi?View attachment 1308125



nipo hapa.Hiki kijamaa ndiyo kinapiga mabanzi manzi yake..Happy New Years Eve fellas.


Picha ya kufungulia mwaka
Hahahaahahah
Bora tusahau...Nimeamka nimeshasahau...
Hepi nyu yia![]()
Ooh sawasawaSasa Kihesa nilikuwepo juzi, nilitoka kule Parokiani halafu nikawapeleka watoto kule Magic Site Zoo kwa afande Steve kuona Mamba na Mbuni.
Kweli unakaa Iringa wewe ???









Mbona Kama una wasiwasi?Kweli unakaa Iringa wewe ???
![]()
Happy new year 💥Picha ya kufungulia mwaka
Sijaelewa 😩Wale wazee we BODMAS mabano hayo
All you need is love
Haha wewe tena....
Napajua vema.Hapa natumai utakuwa unapafahamu. Unajua ni mwendo wa muda kutoka hapa hadi kihesa ??
View attachment 1309284