MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,444
- 69,265













Ntakuwa ofisi za TATANCA nakusubiri ndiyo tunarudi sasa....













Aisee..Sasa utanijuaje?
Ntakuwa ofisi za TATANCA nakusubiri ndiyo tunarudi sasa....
Nimekununiaa
Na huu uzi naleft rasmi, watu wote hao hata mmoja jamani wa kunitania Karibu siku kuu?! Yaani anitanie tuu
Asante Mkuu
Hatimaye umenikumbuka nilikuwa nakucheki tu hapa😄Happy new year 💥
Watu watajaribu kweli*Msiwe mnaogopa kujaribu,juzi luku iliisha nikaweka zile namba za NIDA umeme ukawaka*
Jr![]()
Nikiri kuwa kwa hili mwaka umeanza vizuri!
Heri ya mwaka mpya kijanaNikiri kuwa kwa hili mwaka umeanza vizuri!

mbona niece,, asante..
Asante sana niece, nawe pia uzidi kuiona furaha ya kuwepo duniani.
😀😀😀 nilikuwa nakuvutia kasi kwanzaHatimaye umenikumbuka nilikuwa nakucheki tu hapa😄
Asante & Heri ya mwaka mpya kwako pia
Thanks and same to youHeri ya Mwaka mpya wakuu wote ! All the best in 2020.
Sent from my iPhone using JamiiForums

*Msiwe mnaogopa kujaribu,juzi luku iliisha nikaweka zile namba za NIDA umeme ukawaka*![]()
Jr![]()