MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,444
- 69,265
Mbona hukuja TATANCA ???





Mbona hukuja TATANCA ???





Sasa kuna sehemu huko Udzungwa kuna miti ya mikubwa ya namna hii. Noma sanaaDah ya mtandaoni hii kaka
Jr![]()
Nini tena au ushaondoka ?
Ni mimi hapa nikutumie ?Huyu mkaka aliejaza screen ni nani jamani? Halafu nimeitafuta hiyo picha nimeikosa.
Namsalimia tu na kumtakia kheri ya mwaka mpya.
Amu. View attachment 1309379
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi pole sanaaaa.
NishasepaNini tena au ushaondoka ?
Na kwako mamaa, unailia wapi sikukuu ya leo?
🤣🤣🤣



Kweli ni mzinga wa Asali tena ya nyuki wadogo hio! Utamu wake siongelei.
Haha ! Kesho nayo siku. Hakikisha asbh na mapema kabisa unatuma location.Nishasepa
Hatarious sana mzee.Mandhari nzuri sana hizi... Zinanuvutia mno
Jr![]()