Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

What a good morning , jumatatu kinanuka zaidi . Mere krisimasi my nduguz
 

Attachments

  • IMG_4460.JPG
    IMG_4460.JPG
    76.6 KB · Views: 6
Tabata ya hii ya mto msimbazi pooohh!!!vingunguti plus

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo tabata ya mto msimbazi ibakie kuitwa vingunguti tuu sio tabata. Hahaa kuichanganya na tabata ni kuikosea heshima tabata.

Huo mji ni mbaya dah. Uswahilini saaaana.
Sijui kwanini wanawake wa kipande hicho wanakuwa wamebabula flan hivi sijui na mkorogo(creams) na huvaa magaun ya moja kwa moja madera.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom