Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Khaaah!! Tunakukera kwa lipi labda? Kuambiwa wewe mdogo wakati kweli ni mdogo umakereka nini?
Mie nikiambia mzee walaa sikereki maana ni kweli, sasa sijui kwanini wewe unateseka[emoji134][emoji134][emoji1745][emoji1745]
Kwa uzee upi bwana acha kuchanganya watu, hivi mtoto umezaliwa late 80's au early 90's unasimama kujiita mzee kweli. Unautia uzee nuksi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]hiyo "late 80s au early 90s" kama vile nimewahi kuiona mahali sijui wapi??
Kwa uzee upi bwana acha kuchanganya watu, hivi mtoto umezaliwa late 80's au early 90's unasimama kujiita mzee kweli. Unautia uzee nuksi[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
20191227_113804.jpg
 
Back
Top Bottom