ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,489
- 126,777
Ni kweli sio mzuri, vitu vingi tu sio vizuri ilà tunaendelea kuvitumia. Hoja: Uache kujiita mzee, you're not even closer.Ndio maana[emoji134][emoji134][emoji134]
Utumbo sio mzuri kaka yangu.
Ni kweli sio mzuri, vitu vingi tu sio vizuri ilà tunaendelea kuvitumia. Hoja: Uache kujiita mzee, you're not even closer.Ndio maana[emoji134][emoji134][emoji134]
Utumbo sio mzuri kaka yangu.
Sasa umekumbuka unaacha kusema tena!!!
Vinanitosha kabisa. Unajua pa kuvileta tafadhali.
Ntakuchapa!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ni mie mwenyewe,, niliwahi kumuambia mtu hivyo..
Sent using Jamii Forums mobile app
😛 [emoji14] [emoji872]
Hahaha dah ila Mme mmisi mambo mazuri mazuri ya miaka iyo
..we jua tu ntakuchapa, halafu siku hizi umeacha kubalance mambo ya me na ke??[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
hahaha dah
Nitavaa soksi 8.Namba ya kiume hiyo, haiwezi kukutosha.
Kaka kwani una mpango gani na huo udogo unaoning'ang'anizia?Ni kweli sio mzuri, vitu vingi tu sio vizuri ilà tunaendelea kuvitumia. Hoja: Uache kujiita mzee, you're not even closer.
Sie wengine tuna miguu ya ukoo. Hivi namba 8 si ndio namba 41?Namba ya kiume hiyo, haiwezi kukutosha.
Ni sawa na genius wengine waliopita....walianza itikisa dunia wakiwa wangali wadogo sanaa.Haina noma boss. Naomba utuambie mambo aliyoyafanya mozart. Watu wasiwe wana consider umri tu
Kizazi hiki kimekosa upendo sijui tufanyaje. Halafu umethubutu kabisa kuniambia..Ndo ninakotokea kaka.
Hapo unasubiri giza tu..sijui kwann technology yenu haikui mweze kuruka hadi mchanaDuh natamani nipae mpaka hapo
Jr[emoji769]
Ndio mpenzi, wewe si ulinitelekeza.Kizazi hiki kimekosa upendo sijui tufanyaje. Halafu umethubutu kabisa kuniambia..
Pampula bia zangu ziko wapi?Wewe hushindwi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo unasubiri giza tu..sijui kwann technology yenu haikui mweze kuruka hadi mchana
Sent using Jamii Forums mobile app