Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

.
Screenshot_20191227-104218.jpeg
 
Mbali na umri na vihela vyako vya mawazo ambavyo muda sio mrrfu nitakua nazo namm tena yawezekana nyingi kukushinda.
Niambie kipi kingine unachonishinda.
Ukitoa umri wako nina uhakika hunikuti hata nusu ya nilipo
Nakadiria, nikiwa na umri wako sikuwa namiliki simu. Nadhani hilo ni moja kati ya vitu ulivyonizidi mkuu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inshort Dar sehemu nyingi hovyooo kasoro masaki na Obey maana nilipita tegeta sehemu moja hivi kaahh!!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mnatusema na TBT yetu jamani, yaani nimeishi sana TBT[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], yapo maeneo mazuri na mabaya. Kifupi Dar yote ndio ilivyo, maeneo mengi bi hovyo tu, tena hovyo tu.
 
Back
Top Bottom