Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,346
- 17,669
Nyumbani kwa Mchina mmoja Jijini Mwanza.
Nyumbani kwa Mchina mmoja Jijini Mwanza.
We jamaa una perfume zisizo na idadi..aisee hizi kufuru.
Nyumbani kwa Mchina mmoja Jijini Mwanza.
Hizo za bafu la juu tu, bafu la chini bado hata sijaanza.We jamaa una perfume zisizo na idadi..aisee hizi kufuru.
Tugawie nyingine basi
Sent using Jamii Forums mobile app
TobaaaHizo za bafu la juu tu, bafu la chini bado hata sijaanza.
Nitumie anuani nitakutumia.



Haina tabu. Kuna nyingine nanunua halafu zinakuwa nyingi sana nasahau kama ninazo, nanunua tena, najikuta ninazo mbilimbili.Tobaaa
Aisee nitumie Bwana..kusanya kusanya usizozitumia unitumie.
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeHaina tabu. Kuna nyingine nanunua halafu zinakuwa nyingi sana nasahau kama ninazo, nanunua tena, najikuta ninazo mbilimbili.


Kabisa yaani.



Mbona mnatusema na TBT yetu jamani, yaani nimeishi sana TBT, yapo maeneo mazuri na mabaya. Kifupi Dar yote ndio ilivyo, maeneo mengi bi hovyo tu, tena hovyo tu.