Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ni tabata lakini [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]wakubali matokeo yaani kama unaenda liwiti Ni uswazi balaaa!!!ukivuka lile daraja kaaah!!
Hiyo tabata ya mto msimbazi ibakie kuitwa vingunguti tuu sio tabata. Hahaa kuichanganya na tabata ni kuikosea heshima tabata.

Huo mji ni mbaya dah. Uswahilini saaaana.
Sijui kwanini wanawake wa kipande hicho wanakuwa wamebabula flan hivi sijui na mkorogo(creams) na huvaa magaun ya moja kwa moja madera.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Go east go west.... Home is best..,!!!
1577429470532.jpeg

Jr[emoji769]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa kifupi wilaya za Ilala na Temeke sehemu nyingi ni uswazi,, maana Tabata haina tofauti sana na Mbagala tu maisha yao..
Ni tabata lakini [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]wakubali matokeo yaani kama unaenda liwiti Ni uswazi balaaa!!!ukivuka lile daraja kaaah!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inshort Dar sehemu nyingi hovyooo kasoro masaki na Obey maana nilipita tegeta sehemu moja hivi kaahh!!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa kifupi wilaya za Ilala na Temeke sehemu nyingi ni uswazi,, maana Tabata haina tofauti sana na Mbagala tu maisha yao..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msasani Peninsula yote ile ni pa kishua na Mbezi Beach chini kule karibu na Bahari achana na huku juu karibu na Kawe,, halafu Tegeta napo mbona pa kishua tu we ulipita Tegeta ipi kwani?? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Back
Top Bottom